Luxemburg
nchi katika Ulaya Magharibi / From Wikipedia, the free encyclopedia
Luxemburg (pia: Lasembagi) ni nchi ndogo katika Ulaya. Imepakana na Ubelgiji, Ufaransa na Ujerumani.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kiluxemburg: Mir wëlle bleiwe wat mir sinn (Kiingereza: "Tunataka kukaa jinsi tulivyo") | |||||
Wimbo wa taifa: Ons Hémécht ("Nchi yetu") WImbo wa kifalme: De Wilhelmus 1 | |||||
Mji mkuu | Luxemburg 49°36′ N 6°7′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Luxemburg | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa, Kijerumani, Kiluxemburg | ||||
Serikali Mtemi mkubwa Waziri Mkuu |
Utemi Mkubwa Mtemi Mkubwa Henri Luc Frieden | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilithebitishwa |
1815 1839 1867 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,586 km² (ya 167) -- | ||||
Idadi ya watu - 2019 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
613 894 (ya 164) 439,539 233.7/km² (ya 58) | ||||
Fedha | Euro (€)2 (EUR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .lu3 | ||||
Kodi ya simu | +352
- |
Funga
Ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya, tena ilikuwa kati ya nchi sita zilizoanzisha Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya mwaka 1957.