MarcheFrom Wikipedia, the free encyclopedia Marche ni mkoa wa Italia ya kati upande wa mashariki. Muonekano wa maeneo yaliyomo ndani ya mkoa wa Marche Mahali pa Marche katika Italia. Una wilaya tano. Mji mkuu wake ni Ancona.
Marche ni mkoa wa Italia ya kati upande wa mashariki. Muonekano wa maeneo yaliyomo ndani ya mkoa wa Marche Mahali pa Marche katika Italia. Una wilaya tano. Mji mkuu wake ni Ancona.