Mbeya (mji)
Mji wa Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Jiji la Mbeya ni mji mkubwa kusini-magharibi mwa Tanzania wenye hadhi ya jiji na msimbo wa Posta 53100.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Jiji la Mbeya | |
Mahali pa mji wa Mbeya katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mbeya |
Wilaya | Mbeya Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 541,603 |
Funga
Mbeya ni kitovu cha Nyanda za Juu za Kusini ambazo ni eneo la uzalishaji wa mazao mengi.
Ni makao makuu ya mkoa wa Mbeya.