Medali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Medali (kutoka Kiingereza: medal) ni kipande cha metali anachopewa mshindi katika mashindano ya mchezo au mtu anayepongezwa kwa mafanikio. Watu hupewa medali kama tuzo kutokana na kufanikiwa katika jambo fulani. Thamani ya medali hutegemea na makubaliano ya tuzo husika: mtu huweza kupewa medali ya shaba, fedha, dhahabu n.k.