Melville Island (Northwest Territories and Nunavut)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Melville Island (Northwest Territories and Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Kanada (Northwest Territories na Nunavut).
Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 42,149, ila hakina wakazi.