Milwaukee, Wisconsin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Infobox Settlement
|jina_rasmi = Milwaukee
|picha_ya_satelite = Milwaukee Wisconsin 7952.jpg
|pushpin_map = Marekani
|pushpin_map_caption = Mahali pa Milwaukee katika Marekani
|picha_ya_bendera = Flag of Milwaukee, Wisconsin.svg
|ukubwa_wa_picha = 100px
|picha_ya_seal = Seal of Milwaukee, Wisconsin.svg
|seal_size =
|settlement_type = Mji
|subdivision_type = Nchi
|subdivision_name = Marekani
|subdivision_type1 = Jimbo
|subdivision_name1 = Wisconsin
|subdivision_type2 = Wilaya
|subdivision_name2 = Milwaukee
Waukesha
|wakazi_kwa_ujumla = 602191
|latd=43 |latm=03 |lats=08 |latNS=N
|longd=87 |longm=57 |longs=21 |longEW=W
|website = www.city.milwaukee.gov Archived 20 Aprili 2010 at the Wayback Machine.
}}
Milwaukee ni mji mkubwa wa Wisconsin ya kusini. Ni mji wa ishirini na tatu kwa ukubwa katika Marekani. Iko kando ya Ziwa Michigan.
Mji una wakazi 602,191 (pamoja na mitaa ya nje: 1,739,497) kwenye eneo la 251 km².
Jina la Milwaukee latoka katika lugha ya Kialgonkian likimaanisha bara sheshe. Mji uliundwa mwaka 1818. Mji upo m 188 kutoka juu ya usawa wa bahari.