Mkoa wa Erzurum
From Wikipedia, the free encyclopedia
Erzurum ni jina la mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Umepakana na baadhi ya mikoa kama vile Kars na Ağrı kwa upande wa mashariki, Muş na Bingöl kwa upande wa kusini, Erzincan na Bayburt kwa upande wa magharibi, Rize na Artvin kwa upande wa kaskazini na Ardahan kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Erzurum.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Erzurum nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Erzurum | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Erzurum nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 25,066 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 958,875 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 25 |
Kodi ya eneo: | 0442 |
Tovuti ya Gavana | http://www.erzurum.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/erzurum |
Funga