Mkoa wa Katanga Juu
Mkoa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Katanga ya Juu ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Katanga Juu Haut-Katanga |
|
Mahali pa Mkoa wa Katanga Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 11°40′S 27°28′E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Lubumbashi |
Serikali | |
- Gouverneur | |
Eneo | |
- Jumla | 132,425 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,960,945 |
Funga
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,960,945.
Mji mkuu ni Lubumbashi.