Mkoa wa Kwilu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kwilu ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ukweli wa haraka Nchi, Mikoa ...
Mkoa wa Kwilu |
|
Mahali pa Mkoa wa Kwilu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mikoa | |
Mji mkuu | Kikwit |
Eneo | |
- Jumla | 78,219 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 5,174,718 |
Funga
Jina linatokana na mto Kwilu unaopita mkoani kutoka kusini hadi kaskazini.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 5,174,718.