Mkoa wa Ubangi Kaskazini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Ubangi Kaskazini ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ukweli wa haraka Nchi, Mikoa ...
Mkoa wa Ubangi Kaskazini |
|
Mahali pa Mkoa wa Ubangi Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mikoa | |
Mji mkuu | Gbadolite |
Eneo | |
- Jumla | 56,644 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,482,076 |
Funga
Jina linatokana na mto Ubangi.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,482,076.