Mkondo wa umemeFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mkondo wa umeme ni mwendo wa chaji ya umeme ndani ya kipitishi. Kipimo sanifu chake ni ampea.