Mobutu Sese Seko
Rais wa kwanza na pekee wa Zaire, kutoka 1965 hadi 1997 / From Wikipedia, the free encyclopedia
Joseph-Désiré Mobutu aliyejiita baadaye Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga (* Lisala, 14 Oktoba 1930 ; † Rabat, Moroko, 7 Septemba 1997) alikuwa rais na dikteta wa Zaire (Kongo-Kinshasa) kati ya miaka 1965 na 1997.