MolekuliFrom Wikipedia, the free encyclopedia Molekuli ni maungano ya kudumu ya angalau atomi mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila dutu. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza. Molekuli fulani inavyoonekana ikikuzwa. Molekuli ni ndogo sana haionekani kwa macho.
Molekuli ni maungano ya kudumu ya angalau atomi mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila dutu. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza. Molekuli fulani inavyoonekana ikikuzwa. Molekuli ni ndogo sana haionekani kwa macho.