Mto Tay
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Tay (kwa Gaelic: Tatha) unaanza milimani na unatiririka chini kupitia Strathtay na Perth na katika bahari ya Tay, kusini ya Dundee. Ndio mto mrefu katika Scotland na nafasi ya saba katika mito mirefu zaidi ya Ufalme wa Muungano. Ni mto mkubwa nchini kwa kiasi cha maji. Vyanzo vyake ni wastani wa maili za mraba 2000 (Tweed ni square mile 1 500 (km2 3 900) na Spey ni maili mraba 1097).
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|