Nayarit
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nayarit Ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Mji mkuu na mji mkubwa ni Tepic.
Jimbo lina wakazi wapatao 949,684 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 26,979.
Imepakana na Sinaloa, Durango, Zacatecas na Jalisco.
Gavana wa jimbo ni Ney González Sánchez.
Lugha rasmi ni Kihispania.