NevaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Neva (kutoka Kilatini nervus kupitia Kiingereza nerve, asili kutoka Kigiriki νεῦρον, nevron inayomaanisha "uzi", "kamba"), pia mishipa ya fahamu, ni kundi la seli za pekee mwilini zenye kazi ya kuwasilisha habari kati ya ubongo na sehemu za mwili. Mfumo wa neva wa binadamu Muundo wa seli za neva aina neuroni
Neva (kutoka Kilatini nervus kupitia Kiingereza nerve, asili kutoka Kigiriki νεῦρον, nevron inayomaanisha "uzi", "kamba"), pia mishipa ya fahamu, ni kundi la seli za pekee mwilini zenye kazi ya kuwasilisha habari kati ya ubongo na sehemu za mwili. Mfumo wa neva wa binadamu Muundo wa seli za neva aina neuroni