Oakland, California
From Wikipedia, the free encyclopedia
Oakland ni mji wa nane kwa ukubwa katika California. Uko mashariki ya rasi ya San Francisco. Mji ulikuwa na wakazi 397,067 mnamo mwaka 2006.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Oakland | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Alameda | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 397,067 | ||
Tovuti: www.oaklandnet.com |
Funga
Mji uliundwa mwaka 1852. Jina la kwanza la mji lilikuwa encinal (Kihispania: kituka cha mti wa oak).