Oblast huru ya Kiyahudi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Oblast huru ya Kiyahudi (kwa Kirusi: Еврейская автономная область) ni eneo la shirikisho la Russia lililopo mashariki mwa Urusi mpakani kwa China.
Linaitwa hivyo kwa sababu lilianzishwa kwa lengo la kuhifadhi Wayahudi wa Urusi na utamaduni wao. Lakini kwa sasa hao ni 0.2% tu kati ya wakazi wote wa eneo hilo.