Orodha ya mito ya Ethiopia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mito ya Ethiopia ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Hindi au katika maziwa na mabonde ya ndani)
- kadiri ya alfabeti.