Otsu, Shiga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Otsu (大津市) ni mji wa Japani. Mji ndiyo mji mkuu katika Mkoa wa Shiga. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 330 000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Otsu | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kansai | ||
Mkoa | Shiga | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 332 211 | ||
Tovuti: www.city.otsu.shiga.jp |
Funga