PugliaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Puglia ni mkoa wa Italia uliopo upande wa kusini mashariki kuelekea Albania na Ugiriki ng'ambo ya bahari. Kamji cha Ostuni, Puglia Mahali pa Puglia katika Italia Mji mkuu wake ni Bari.
Puglia ni mkoa wa Italia uliopo upande wa kusini mashariki kuelekea Albania na Ugiriki ng'ambo ya bahari. Kamji cha Ostuni, Puglia Mahali pa Puglia katika Italia Mji mkuu wake ni Bari.