Saar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Saar (Kijerumani: Saarland) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,022 kwenye eneo la 2.568 km². Mji mkuu ni Saarbrücken. Waziri mkuu ni Annegret Kramp-Karrenbauer (CDU).