Sacramento Kings
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Sacramento Kings ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Sacramento, California. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na De’Aaron Fox.