Bomu la nyukliaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Bomu la nyuklia (pia bomu la atomu) ni silaha inayosababisha mlipuko mkubwa sana. Kati ya silaha zote, hiyo ni yenye nguvu na pia yenye hatari zaidi. Mlipuko wa bomu la nyuklia la jaribio huko Nevada (Marekani) mwaka 1951.
Bomu la nyuklia (pia bomu la atomu) ni silaha inayosababisha mlipuko mkubwa sana. Kati ya silaha zote, hiyo ni yenye nguvu na pia yenye hatari zaidi. Mlipuko wa bomu la nyuklia la jaribio huko Nevada (Marekani) mwaka 1951.