SyktyvkarFrom Wikipedia, the free encyclopedia Syktyvkar (Kirusi: Сыктывкар) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 243.536. Iko katika mkoa wa Komi Jamhuri.