Talca
From Wikipedia, the free encyclopedia
Talca ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Maule katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 240,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 102 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Talca | |
Majiranukta: 35°25′59″S 71°40′00″W | |
Nchi | Chile |
---|---|
Mkoa | Maule |
Wilaya | Talca |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 238,817 |
Tovuti: www.talca.cl/ |
Funga