Tolyatti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tolyatti (kwa Kirusi: Тольятти, kutokana na jina la Palmiro Togliatti, mwanasiasa Mkomunisti wa Italia) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 702.879. Iko katika mkoa wa Samara Oblast.