UshindiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ushindi (kutoka kitenzi kushinda, yaani kubaki; kwa Kiingereza: victory) ni neno linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile majaribu, mitihani, kesi, mapigano au mechi. Johann Carl Loth: Mfano wa Ushindi. Ufufuko kadiri ya Piero della Francesca, 1460
Ushindi (kutoka kitenzi kushinda, yaani kubaki; kwa Kiingereza: victory) ni neno linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile majaribu, mitihani, kesi, mapigano au mechi. Johann Carl Loth: Mfano wa Ushindi. Ufufuko kadiri ya Piero della Francesca, 1460