Mfanyabiasharaukarasa wa maana wa Wikimedia / From Wikipedia, the free encyclopedia Mfanyabiashara ni mtu ambaye anajihusisha na shughuli za kuuza na kununua bidhaa kwa lengo la kupata faida ili kuweza kujiinua au kupata maendeleo ya kiuchumi [1]. Mfanyabiashara akimhudumia mteja. Mjasiriamali ni mfano mzuri wa mfanyabiashara.
Mfanyabiashara ni mtu ambaye anajihusisha na shughuli za kuuza na kununua bidhaa kwa lengo la kupata faida ili kuweza kujiinua au kupata maendeleo ya kiuchumi [1]. Mfanyabiashara akimhudumia mteja. Mjasiriamali ni mfano mzuri wa mfanyabiashara.