Wilaya ya BureraFrom Wikipedia, the free encyclopedia Wilaya ya Burera inapatikana katika mkoa wa Kaskazini nchini Rwanda. Picha ya ramani ikionesha eneo la Wilaya ya Burera Makao makuu yako Cyeru.
Wilaya ya Burera inapatikana katika mkoa wa Kaskazini nchini Rwanda. Picha ya ramani ikionesha eneo la Wilaya ya Burera Makao makuu yako Cyeru.