Xi'an
From Wikipedia, the free encyclopedia
Xi'an ni makao makuu ya Mkoa wa Shaanxi nchini China. Kwenye mwaka 2011 ilikuwa na wakazi milioni 6. [2]
Ukweli wa haraka
Nchi | China |
Jimbo / Mkoa | Shaanxi |
Anwani ya kijiografia | 34°15′54″N 108°57′14″E |
Kimo | m 405 |
Eneo | km2 1,088 |
Wakazi | 7,135,000[1] |
Msongamano wa watu | 6,600/km2 |
Simu | 29 |
Tovuti rasmi | www.xa.gov.cn |
Funga
Jiji hilo ni maarufu kwa Jeshi la Matofali lililopatikana ndani ya kaburi la kaisari wa kwanza wa China Qin Shi Huang. [3]