Abeti Masikini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Elisabeth Jean Finant (alitambulika sana kwa jina la kisanii kama Abeti Maskini; 9 Novemba 1954 - 28 Septemba 1994) alikuwa mwanamuziki maarufu wa dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Abeti Masikini | |
---|---|
Abeti Maskini mnamo 1989. | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Elisabeth Jean Finant |
Amezaliwa | (1954-11-09)Novemba 9, 1954 Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Amekufa | Septemba 28, 1994 (umri 39) Paris, Ufaransa |
Aina ya muziki | muziki wa dansi, soukous |
Kazi yake | mwimbaji/mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1971 - 1994 |
Studio | RCA Records, Polygram Records |
Funga
Katika Afrika Mashariki alijulikana sana kwa kuimba Kiswahili, hasa ule wimbo wake wa "Likayabo" (Manjano na amdalasini).
Abeti alikuwa chotara kama Jolie Detta, baba yake mzazi akiwa ni mchanganyiko wa Mkongomani na Mbelgiji.