Ana Wang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ana Wang (Machiazhuang, 1886 hivi - Machiazhuang, 22 Julai 1900) alikuwa bikira wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa pamoja na dada yake Lusia Wang Wangzhi na mtoto wa huyo, Andrea Wang Tianqing[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 mwaka 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 22 Julai[2].