Azzedine Mihoubi
mwanasiasa wa Algeria / From Wikipedia, the free encyclopedia
Azzedine Mihoubi (alizaliwa Khadra, Algeria, Januari 1, 1959[1] ) ni mwanasiasa, mshairi, mwanariwaya. pia alikuwa mwandishi wa habari. Azzedine Mihoubi anahudumu kama Waziri wa tamaduni nchini Algeria.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Nchi ...
Azzedine Mihoubi | |
Amezaliwa | 1 January 1959 Khandra, Algeria |
---|---|
Nchi | Algeria |
Kazi yake | Mwanasiasa |
Cheo | waziri wa Utamaduni Nchini (Algeria) |
Funga