Balbina wa Roma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Balbina wa Roma (alifariki Roma, 130 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mengi kama mtakatifu mwenye sifa za bikira na mfiadini.[1].
Baba yake pia, askari Kwirino wa Roma, alifia dini na anaheshimiwa kama mtakatifu[2][3], hasa tarehe 30 Aprili.