CNN
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.[1] CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24.[2] Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles. Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.