Crystal Emmanuel
From Wikipedia, the free encyclopedia
Crystal Emmanuel (alizaliwa Novemba 27, 1991) ni mwanariadha wa mbio fupi kutoka Kanada ambaye ni mzoefu wa mbio za mita 200. Ni mshindi katika mashindano yote ya mbio za mita 100 na 200 mnamo Julai ya mwaka 2018. Crystal pia anashikilia rekodi ya mita 200 ya Kanada. Alishiriki mashindano haya mnamo mwaka 2012, 2016 2020 ya olimpiki kwa majira ya joto,lakini alitolewa nusu fainali[1].Katika mashindano ya 2013 ya dunia ya Riadha,alitolewa katika vuguvugu la kupitwa kwakushindwa katika njia nyembamba.
Mama yake Rosalind Emmanuel alishindana kimataifa kuiwakilisha Barbados katika riadha katika miaka ya 1980[2].