Jeromu Lu Tingmei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jeromu Lu Tingmei (1811 hivi - Maokou 28 Januari 1858) alikuwa mlei katekista wa China aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe tarehe 28 Januari[1].