Lazarus Chakwera
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lazarus McCarthy Chakwera (amezaliwa Lilongwe, sasa mji mkuu wa Malawi, 5 Aprili 1955) ni mwanatheolojia na mwanasiasa wa Malawi ambaye alipata kuwa Rais wa Malawi mnamo Juni 2020.