Lusia Yi Zhenmei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lusia Yi Zhenmei (Mainyang, 17 Januari 1815 - Kaiyang 19 Februari 1862) alikuwa bikira katekista wa China aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[1].