Malaika Rafaeli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Malaika Rafaeli (kwa Kiebrania רָפָאֵל, Rāfāʾēl, "Mungu anaponya" au "Mungu, ponya!") ni malaika anayetajwa na Kitabu cha Tobiti katika Deuterokanoni. Kwa hiyo anaheshimiwa na madhehebu yanayokubali kitabu hicho kama sehemu ya Biblia.
Katika Uislamu ni sawa na malaika Israfili.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba[1][2]