Martino Wu Xuesheng
From Wikipedia, the free encyclopedia
Martino Wu Xuesheng (Chuchangbo, 1817 hivi - Kaiyang 18 Februari 1862) alikuwa katekista wa China aliyefia Ukristo.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[1].