Maya YoshidaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Maya Yoshida (Kijapani:吉田 麻也, alizaliwa tarehe 24 Agosti mwaka 1988) ni mchezaji wa soka wa Japani ambaye hucheza katika klabu ya Southampton Ligi kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Japan.
Maya Yoshida (Kijapani:吉田 麻也, alizaliwa tarehe 24 Agosti mwaka 1988) ni mchezaji wa soka wa Japani ambaye hucheza katika klabu ya Southampton Ligi kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Japan.