Petro Liu Wenyuan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Petro Liu Wenyuan (1760 hivi - Guiyang 17 Mei 1834) alikuwa mlei katekista wa China aliyefia imani ya Kikristo kwa kunyongwa[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].