Rafaeli Guizar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rafaeli Guizar (Cotija, Meksiko, 26 Aprili 1878 - Mji wa Meksiko, 6 Juni 1938) alikuwa askofu mkuu wa Veracruz-Jalapa kuanzia mwaka 1919.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Nchi ...
Rafaeli Guizar | |
Rafaeli Guízar Valencia | |
Amezaliwa | 26 Aprili 1878 |
---|---|
Nchi | Mji wa Mexiko |
Kazi yake | askofu mkuu |
Funga
Kwa kuwa alijihusisha na vita vya Cristeros aliondolewa jimboni mwake ikambidi aishi na kuendelea na uchungaji wake mafichoni jijini Mji wa Meksiko hadi kifo chake.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Januari 1995, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Oktoba 2006.