Rogaland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rogaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo Kaskazini mwa Norwei, likikwa limepakana na baadhi ya mjimbo mengine kama vile Hordaland, Telemark, Aust-Agder na Vest-Agder. Jimboni hapa ni mahali pa kuu pa viwanda vya mafuta ya petroli, na kwa maana hiyo, Rogaland ina idadi ndogo mno ya ukosefu wa ajira kuliko jimbo lolote lile nchini Norwei, 1.1%.[1] Rogaland ina idadi ya vifo vya watoto ipatayo asilimia 2.18 kwa kila mama, ambayo ni kiwango cha juu sana kwa nchini humo, na moja kati ya idadi kubwa mno katika Ulaya.