Wapasionisti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wapasionisti (kutoka jina rasmi la Kilatini: Congregatio Passionis Iesu Christi, kifupi: C.P.) ni shirika la kitawa la kikleri la Kipapa la wanaume Wakatoliki lililoanzishwa na Paulo wa Msalaba[1] mwaka 1725 kwa kusisitiza ibada kwa mateso ya Yesu.