Yohakimu He KaizhiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Yohakimu He Kaizhi (Zhazuo, 1782 hivi - Guiyang 9 Julai 1839) alikuwa katekista wa China aliyenyongwa hadi kufa kwa ajili ya imani ya Ukristo[1]. Wafiadini Wakatoliki wa China. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai[2].
Yohakimu He Kaizhi (Zhazuo, 1782 hivi - Guiyang 9 Julai 1839) alikuwa katekista wa China aliyenyongwa hadi kufa kwa ajili ya imani ya Ukristo[1]. Wafiadini Wakatoliki wa China. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai[2].