Yohane Zhang Tianshen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yohane Zhang Tianshen (Jiashanlong, 1805 hivi - Kaiyang 18 Februari 1862) alikuwa mwanamume wa China aliyefia Ukristo.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[1].