Yosefu Yuan Zaide
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yosefu Yuan Zaide alikuwa padri wa China aliyefia Ukristo kwa kunyongwa huko Chengdu 24 Juni 1817[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu mfiadini mwaka 2000.
Sikukuu yake na ya wenzake 119 huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 24 Juni[2].